Bahasha fc: Tumalize mchezo mapema

Watu wengine kama mafala
 
Mchezo umeisha.Hii TFF na Bodi ya ligi hawaoni hii conflict of interest.
Amka utoke Usingizini. Mbona Azam TV ambayo iko kwenye kampuni inayomiliki Azam FC bado ina sponsor timu za Yanga na SImba pia. Tanzania hatuna sponsors wengi wa michezo, ni vizuri hao wachache wanaopatikana wazisaidie hata timu ndogo. Kwa muda mrefu sana SportPesa alikuwa sponsor wa Yanga na Simba pamoja na klabu nyingine nyingi, wala SImba haikuwahi kulalamika kuwa wanapata maagizo kutoka kwa Talimba, na kwa kipindi chote hicho Simba ilikuwa ikiifunga sana Yanga. Simba walihamia M-Bet kwa sababu ya dili tu siyo kwa sababu ya kusukumwa na SportPesa.

Tofautisha biashara na mtu binafsi. Hao wanalipwa kwa kubeba matangazo ya bishara ya kampuni zilizoandikwa kwenye jezi zao, hawapewi fedha hizo bure.
 
Mh?? Kwamba Mo na Bakresa wana pesa halali? No huyu mwizi wa mashamba tanga?

Hakuna tajiri anapata pesa bila kuiba zingine hakuna duniani kote.
 
Ila watu hua mnakurupuka kwahiyo hamjui mwiguru kanunua ihefu ndo maana imehamia singida
 
Ukiangalia head2head ihefu haijawahi kua timu tishio kwa Yanga hasa Yanga akiwa nyumbani sababu hajawahi shinda mechi ya ugenini akiwa anacheza na Yanga sasa kwanini Yanga isumbuke na timu ambayo haijawahi kua tishio kwake hasa kwa mechi za nyumbani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…