Bahasha fc: Tumalize mchezo mapema

Naweza nikasema Yanga wanafanya michezo michafu sana kwenye Ligi yetu.Hii ni hatari sana kwa Soka la Tanzania
 
Reactions: Tui
Bwege wa umbumbuni katika ubora wako, ni mechi Gani utuambie ihefu alishamfunga yanga akiwa dar? Kwa maana mnataka kujificha mgongoni kwa ihefu ili iwabebe baada ya timu yenu kushindwa mziki wa yanga? Kwanini mseme mwigulu kaenda kuwaona ihefu na mkasahau pia alienda kuwaona viongozi wa Simba mkapokea kichapo Cha Kono la nyani! Mo, mangungu na Try again wawaambie walipokea kiasi Gani Kila mmoja alafu mzirudie timu zote zilizopigwa Tano Tano wawaambie mwigulu alikutana nazo lini na wapi!
 
Tatizo lipo hapa
 

Attachments

  • VID-20240310-WA0004.mp4
    32 MB
Sina neno picha imejitosheleza.View attachment 2929876
Comrade! hata kama wewe ni mbumbumbu kichwani, bado unatakiwa kuficha huu udhaifu wako. Maana inawezekana kabisa hapo ulipo ni baba wa familia.

Huyo Mwigulu ni mmiliki wa hiyo timu. Hivyo huwezi kumzuia/kumpangia kwenda kuwapa hamasa hao wachezaji wake; kisa tu ni mwanachama wa Yanga.

Na hiyo hamasa anayowapa, sidhani kama ina uhusiano wowote na huo ujinga wako unaotaka kutuaminisha hapa.
 
Punguzeni hisia wazee...,Mbona Tff, wizara ya michezo kuanzia Waziri mpaka Naibu wote Simba na wala hausikii Yanga wakilialia.
Wanajitoa ufahamu, siku za nyuma mpaka waziri mkuu na mkuu wa mkoa makonda wote walikuwa Simba na maisha yakaenda.
 
Mwigulu ni Mwanachama kindaki ndaki wa Yanga usisahau hilo
 
Mwigulu ni Mwanachama kindaki ndaki wa Yanga usisahau hilo
Kwa hiyo katika hali ya kawaida, unataka uniambie ameenda kuwaona hao wachezaji ili kuwashawishi kucheza chini ya kiwango ili wafungwe na Yanga?

Je, jambo kama hilo linawezekana kwa wachezaji ambao ni professional?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…