fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Basi baada ya mazishi ya msichana mmoja mrembo sana hapa mtaani,mc alitangaza kuwa bibie kabla aage alitoa bahasha ambayo ingesomwa wakati wa mazishi.basi ilibidi aifungue ile bahasha na kilichokuwa ndani wakuu msishangae.ni majina 25 ya vijana ambao waliwahi kufanya mapenzi na marehemu na kwa bahati nzuri ama mbaya ni ukimwi uliommaliza.je,kama jina lako lingekuepo cku hiyo ungelifanyaje???