fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Basi baada ya mazishi ya msichana mmoja mrembo sana hapa mtaani,mc alitangaza kuwa bibie kabla aage alitoa bahasha ambayo ingesomwa wakati wa mazishi.basi ilibidi aifungue ile bahasha na kilichokuwa ndani wakuu msishangae.ni majina 25 ya vijana ambao waliwahi kufanya mapenzi na marehemu na kwa bahati nzuri ama mbaya ni ukimwi uliommaliza.je,kama jina lako lingekuepo cku hiyo ungelifanyaje???
Hakuna mwenye busara yeyote anayeweza soma hiyo bahasha ya mambo ya ki-ngono msibani.... labda wawe vichaa!!! kimila tumezoea kumsetiri marehemu hata kama alikufa kwa kufumaniwa au alikuwa jambazi!!
Ningetulia na baada ya hapo ni usawa wa kupima,na kusubiri matokeoHakuna mwenye busara yeyote anayeweza soma hiyo bahasha ya mambo ya ki-ngono msibani.... labda wawe vichaa!!! kimila tumezoea kumsetiri marehemu hata kama alikufa kwa kufumaniwa au alikuwa jambazi!!
habari ndio hio.na mambo ya awekwe pema peponi mwachieni muumba.utavuna ulichopanda.