Bahati katika penzi tata

Bahati katika penzi tata

normally

Senior Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
194
Reaction score
167
Umepanga meeting na chali ndio first date yake amepanga mkutane sehemu nzuri unakuta kanunua tiketi ya mchezo wa kubahatisha kwa ajili ya wapenzi wapya billioners yenye thamani ya dollar bilioni 5. Chalii anakwambia ukweli wa hisia zake kwako.Na ww unaamua mkatia ukweli kuwa hafai kua baby wako kwanza ana hadhi.

Chali anaamua ondoka kwani umemkatia maneno ngumu hajawahi sikia anaondoka kwa huzuni na aibu. Siku inayofata unasikia jina lako linatangazwa na la chalii kua nyie ndio new bilioners couples.

Unaamua kumtafuta kumueleza chalii kuhusu hilo unapata taarifa jamaa kajinyonga na huwezi chukua hizo pesa mpaka muwe couples na kama jamaa hayupo ni ngumu wewe kuchukua huo utajiri je wewe utafanyaje?
 
Umepanga meeting na chali ndio first date yake amepanga mkutane sehemu nzuri unakuta kanunua tiketi ya mchezo wa kubahatisha kwa ajili ya wapenzi wapya billioners yenye thamani ya dollar bilioni 5. Chalii anakwambia ukweli wa hisia zake kwako.Na ww unaamua mkatia ukweli kuwa hafai kua baby wako kwanza ana hadhi. Chali anaamua ondoka kwani umemkatia maneno ngumu hajawahi sikia anaondoka kwa huzuni na aibu. Siku inayofata unasikia jina lako linatangazwa na la chalii kua nyie ndio new bilioners couples. Unaamua kumtafuta kumueleza chalii kuhusu hilo unapata taarifa jamaa kajinyonga na huwezi chukua hizo pesa mpaka muwe couples na kama jamaa hayupo ni ngumu wewe kuchukua huo utajiri je wewe utafanyaje?
Ukitongozwa wakati mwingine usikatae binti maisha ni hayahaya.
 
Stori za kusadikika.Ila huwa napata ugumu kuelewa uzi wa mtu wa kaskazini.Hapa nimejipinda sana kuelewa ndo nikakomenti na kulike.
 
Back
Top Bottom