Bahati mbaya hatuna Tony Olumelu wa kwetu, angetupunguzia umbeya miongoni mwa vijana

Tatizo lenu mmebakia kufanya mambo Kwa mdomo na syo watendaji

Ova
Mkuu mrangi, tatizo lenu au letu?. Lengo la mada kama hizi ni kuelimishana kwa faida ya vizazi vya Tanzania ya leo na ya kesho.
 
Hivi vijana wa Nigeria sio ndo walikuwa wameanzisha movement ya kumtaka Raisi wao aachie madaraka kwa lazima au vijana gani wa Magharibi unazmgmzia
Ile foundation inao vijana kutoka nchi nyingi za kiafrika. Hao unaowasema ni wachache tu, nadhani ilikuwa ni movement ya kisiasa ya muda mfupi.
 
Hiyo foundation inawapa nafasi vijana kutuma mawazo yao kuanzia 1st January mpaka March tarehe za mwanzo na siku ya birthday yake (Tony Elumelu) 22nd March hutoa list ya vijana 1000 ambao mawazo yao yamepita then October hukutana Nigeria pamoja na mentors mbalimbali kutoka pande zote duniani.Baada ya BootCamp hao vijana 1000 hupewa seed capital $5000 na baada ya muda fulani wanapewa mkopo wa $5000. Hushirikisha vijana wa nchi zote barani Africa. Lengo ni kuimpact vijana Elfu kumi kwa miaka kumi ambao watatengeneza ajira kwa vijana wengine.
 
No offence but do u think your life is better than theirs?
This thread was written not for the purpose of comparisons of lives between different human beings, it is meant to give to young people that sense of wanting to achieve more in life as time still is on their side.

Stop being rigid and rude it is of no good to you my dear friend. Lengo ni kuamsha ari kwa vijana wetu waweze na wao kuwa wajisiriamali wakubwa. Kwa nini vijana wa nchi kama Nigeria, Ethiopia waweze kuwa na idadi kubwa ya wajasiriamali vijana, na sisi tusiwe nao??.

Hizo akili za mashindano ya kitoto, jaribu kuzikwepa.
 
Was a very simple QN
There is no comparison I wanted to show u the very same thing
If u wanted to provide awareness then u dd it the wrong way so i suggest u S.T.F.U and re-think for a better way
 
Was a very simple QN
There is no comparison I wanted to show u the very same thing
If u wanted to provide awareness then u dd it the wrong way so i suggest u S.T.F.U and re-think for a better way
My friend it might be the wrong way to you but fortunately enough my thoughts have been sent across.

I get satisfaction when my thoughts are being read by thousands of young people. Do not claim perfection in whatever you do, we all have shortfalls.
 
Vijana Wa Tanzania ujasiliamali bado sana, nadhani elimu bado hazijawafikia
 
Niliapply mwaka huu ila sikufanikiwa kupata. Watanzania zaid 9 walifanikiwa, kama sikosei muda wapo Nigeria ktk TEEF2017. Yupo rafk yangu wa FB anamilik kampun inaitwa ZAIDI ENTERPRISES(Recycling). Kiukwel Mr Tony anafanya vyema sana. Leo nilikuwa namsikilza Dangote, Makamu wa Rais wa NIGERIA. Pia walikuwapo IROKOtv CEO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…