Bahati Nasibu ya Green Card

Bahati Nasibu ya Green Card

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Kumbe Tanzania tulikuwa katika huu mchakato wa kupata Entry na parmenent uraia wa Marekani, lakini sikua nafahamu mwanzoni nilikua nahisi ni kwa nchi kama Somalia, Sudan, Syria, Eritrea n.k.

Kwa Tanzania huu mchongo haukua maarufu au huenda kuna kakundi kadogo kalikua kanaujua mchezo halafu wakatulia nao.
 
Mie nishawahi kuomba Mara mbili nikatoka kapa, nilikuwa na mpango wa kuomba tena mwaka huu lakini ndio bahati mbaya ishatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kalianza lini? Hata sijui. Hata jinsi ya kukapata sijui,hata namna ya ku-deal nako sijui. Hata ya namna sijui nako. Ndio nimejua hapa baada ya hii kimakonda. Ngoja waje watusmbie inakuweje hii Green card ya USA

Mwenyewe ndio nashangaa kumbe tulikua tunapitwa na mengi
 
Kumbe Tanzania tulikuwa katika huu mchakato wa kupata Entry na parmenent uraia wa Marekani, lakini sikua nafahamu mwanzoni nilikua nahisi ni kwa nchi kama Somalia, Sudan, Syria, Eritrea n.k.

Kwa Tanzania huu mchongo haukua maarufu au huenda kuna kakundi kadogo kalikua kanaujua mchezo halafu wakatulia nao.
😀 kalikuwepo long time sema sisi watz hatupendani kupeana michongo
 
Koneksheni ndio tatizo... Au kwa kua hali ilikua shwari TZ ndio maana hatukua na haraka ya kuchangamkia hiyo fursa
 
Kumbe Tanzania tulikuwa katika huu mchakato wa kupata Entry na parmenent uraia wa Marekani, lakini sikua nafahamu mwanzoni nilikua nahisi ni kwa nchi kama Somalia, Sudan, Syria, Eritrea n.k.

Kwa Tanzania huu mchongo haukua maarufu au huenda kuna kakundi kadogo kalikua kanaujua mchezo halafu wakatulia nao.
Mnataka muende US mkafaidi kodi za wenzenu waliojenga nchi yao? Tupambane na sisi tujenge nchi yetu, naamini Nyerere dam na SGR zitatufikisha kwenye maisha bora, tuwe wavumilivu.
 
Koneksheni ndio tatizo... Au kwa kua hali ilikua shwari TZ ndio maana hatukua na haraka ya kuchangamkia hiyo fursa
yeah..ila ilikuwepo tangu zamani tu!!wala sio konekshen ilikua una apply bure kwenye website ya Ubalozi wamarekani nchini Tanzania
 
Mnataka muende US mkafaidi kodi za wenzenu waliojenga nchi yao? Tupambane na sisi tujenge nchi yetu, naamini Nyerere dam na SGR zitatufikisha kwenye maisha bora, tuwe wavumilivu.
Subira yavuta kheri
 
Imebaki story labda tena baada ya Trump.... Wenye koneksheni zao wapo US tayari
Yaani mimi mniambie nihame Tz ambayo for less than 20,000/= napata burudani pale maeneo fulani..., aagh wapi..
 
Back
Top Bottom