The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Mkuu usitoe maneno makali.ingia Google andika US DV LOTTERIES .. Uje na maelezo kama yanaakisi hayo uliyosemawe nani kakuambia kwenda marekani, bahati nasibu, umeskia wapi!!! nendeni mkatinduliwe marinda.
muda umeshapita ilikuwa mwezi uliopita mwisho kucheza. subiri mpaka mwaka kesho
subii mwaka kesho ujaribu
2021
Sio KweliNijaribu kujaza page ya kwanza. Na ckick next page kitu kikakataa. Nadhani jina la nchi lilikua shida
Mi mwenyewe nimeshangaa...mtu anapata ujasiri wa kubisha kitu asichokijua? tena na matusi juu..kweli tuna safari ndefu sana.Mkuu usitoe maneno makali.ingia Google andika US DV LOTTERIES .. Uje na maelezo kama yanaakisi hayo uliyosema
Tzinji ipi
mimi nimecheza na wamenijibu hiyo hapoNijaribu kujaza page ya kwanza. Na ckick next page kitu kikakataa. Nadhani jina la nchi lilikua shida
MATAGA na nduguze walishasea USA ni mabeberu, huku kwetu ni kuzuri kuliko kwao, DAr ni kama New York, sasa unaulizia kwenda MAREKANI badala ya kumuuliza pro-pesa KALA-MAGANDA KA-BUGI kuhusu kuanzisha bahati nsabu ambapo WAMAREKANI watacheza na kuja kuishi hii nchi yetu yenye maziwa na asali, demokrasia, utawala bora, ulinzi na amani?Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.
Naomba kujua.
mitano tenaMi mwenyewe nimeshangaa...mtu anapata ujasiri wa kubisha kitu asichokijua? tena na matusi juu..kweli tuna safari ndefu sana.
Hahaha hadi mzee wa chato nasikia anaviota vyake hapa mjini.Marekani haijajengwa na wamarekani wenyewe..wengi ni wahamiaji kama mimi na wewe tulivyahamia DSM tukaijenga.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbona unauliza wakati imeshapita?!Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.
Naomba kujua.
I wish ungefahamu umuhimu wa Diaspora in African Economy!TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE SIO KWA KUKIMBIA BALI KWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA LETU.....
vp man inji au nchi inji ndo mdudu ganiinji ipi
Mkuu,kwani haiwezekani mtu akatoka kwenda kutafuta mtaji kisha akarudi kuijenga nchi yake? Mbona hata hayo mataifa tajiri watu wake huenda nchi zingine kutafuta riziki? tuache kukariri maisha.TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE SIO KWA KUKIMBIA BALI KWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA LETU.....
kiraracha chalianguvp man inji au nchi inji ndo mdudu gani