Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

Mkuu,kwani haiwezekani mtu akatoka kwenda kutafuta mtaji kisha akarudi kuijenga nchi yake? Mbona hata hayo mataifa tajiri watu wake huenda nchi zingine kutafuta riziki? tuache kukariri maisha.
Inawezekana!!! Nangana na DHAMIRA za wale wanaokimbia na kupotelea huko.....
 
Asante kwa taarifa ndugu yangu!!

Wanaozamia mataifa mengine lakini kwa namna moja au nyingine wanazikumbuka nchi zao kwenye nyanja mbali mbali mimi sina tatizo......tatizo lipo pale mtu anaposahau moja kwa moja na kuanza kuiongelea vibaya nchi yake....
 
Ongera sana mkuu hiyo ni bahati ya mtende.Gharama ya kutuma/kuomba US GREEN CARD ni Tz sh ngapi mkuu?
 
Ningependa kujua unapokuwa unajaza zile form za dv lottary lazima uwe na valid passport?
 
Ongera sana mkuu hiyo ni bahati ya mtende.Gharama ya kutuma/kuomba US GREEN CARD ni Tz sh ngapi mkuu?
Kuomba ni 100% FREE...

Again, it's lottery kwahiyo ukiwa miongoni mwa Washindi itabidi ujipange... kuna pesa utatakiwa kulipia lakini uzuri ni kwamba unalipa wakati umeshapata uhakika!! Sikumbuki vizuri gharama zake lakini nadhani total inaenda kwenye USD 900 (don't quote)!

Hiyo pesa unalipia kukuandalia docs mbalimbali including greencard, na hapo ndipo inapofuata challenge mpya kama itakuwa hujajipanga!!

Kwa sasa sina uhakika lakini kwa miaka ya nyuma, sheria ilikuwa inasema ukishapata greencard basi ndani ya miezi 6 uwe umepaa to the US na ukishindwa kufanya hivyo, your card will be revoked!!

Which means, ukishaona umeshashinda tu, basi anza kuweka mpunga wa ticket na wa namna gani utaishi huko! Not necessarily kwamba uende na kukaa na kukaa muda mrefu... unaweza kwenda na kuishi kwa muda ili ku-bypass hiyo sheria wakati unajipanga zaidi!!

Lakini kama umeshafika US, huwezi tena kurudi Bongo kujipanga unless kama una mishe zako za kueleweka Bongo!!
 
So kama kuna ban je ukiomba wata consider applicants from Tz?
 
Tanzanian tumefungiwa je tunaweza kushiriki hiyo bahati nasibu na tukawa considered?
 
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.

Naomba kujua.
Nchi inayozalisha magaidi haiwezi kufunguliwa kirahis rahisi.

Gaidi mmoja wa Tanzania ameamua kujimaliza mwenyewe huko Kenya
 
Chifu,

Mtu kuiongelea vibaya nchi yake halazimiki kwenda US ili aweze kufanya hivyo kwa sababu anaweza kufanya hayo popote pale alipo!! Na ni kutokana na ukweli huo ndo maana the so-called wanaoingelea vibaya nchi, asilimia kubwa wapo Tanzania na wala hawapo nje ya nchi!!
 
Tanzania itaondolewa kwenye orodha ya "ban" ya Green Card kuingia Marekani baada ya Joe Biden kuapishwa na yeye kusaini executive order.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…