Bahati ni mimi na wewe!
Ni kitu ambacho kimetokea au umepata bila kutarajia. Ndiyo maana wanasema bahati nzuri au bahati mbaya.
Fafanua bana mimi na wewe kiaje?Mi naamini unanistahili na mimi nakustahili.Tunatoshana,sijakosea kukupenda usingekua wangu tusingekua pamoja.There is billions of ladies out there,but nimekuchagua wewe kwa sababu unanistahili.In short nilizaliwa kwaajili yako nawe kwaajili yangu TU,bahati inakujaje na ni nini?
Baby braza hii twisheni ya kuimbisha lazma mwaka huu tupige cha ubwabwa. Kaunga hachomoki aisee, swaggzzzzzFafanua bana mimi na wewe kiaje?Mi naamini unanistahili na mimi nakustahili.Tunatoshana,sijakosea kukupenda usingekua wangu tusingekua pamoja.There is billions of ladies out there,but nimekuchagua wewe kwa sababu unanistahili.In short nilizaliwa kwaajili yako nawe kwaajili yangu TU,bahati inakujaje na ni nini?
Mh!Unanichanganya sana . . .!!Unachanganyikiwa na nini ndugu yangu????
King'asti neema ya Mungu ni kitu ambacho Mungu anakupa pasi hata justaili kukipewa na mara nyingi waswahili hulichanganya na bahati. ila kwangu mimi huwa najua hii ni neema na nikiileta kiswahili naiita ni bahati.Hivi bahati na 'neema ya Mungu' ni the same thing? gfsonwin
Success is when preparation meets opportunities. I don't believe in lucky, I believe in the Grace of God and preparation.