[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanza ungenipa stahiki yangu halafu ukaongeza hili la uvivuWw ni mvivu sn miaka 50 mtt mmoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanza ungenipa stahiki yangu halafu ukaongeza hili la uvivu
Hahaaa kumbe najidogodeshaga humu hadi umenikadiria kidogo hivo, mi mhenga hasa, nakaribia umri wa kustaafu huko[emoji87] [emoji87]Mie nachezea 40 kwenda mbele. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Weweeee nadhani 25 - 35 na nahisi nimekubahatisha kweli. Hahahaaa.
Mchoyo SanaWw ni mvivu sn miaka 50 mtt mmoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimeshalizoea hilo neno la uchoyoMchoyo Sana
Just utani Dada yangu Pole Sana na samahani Kama umekwazika[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimeshalizoea hilo neno la uchoyo
ExactlyHahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Kuwa na amani hujanikwaza mkuu ni kweli wananiambia hivyo japo wananitania lakini kuna kaukweli na sikuwa na tatizo ni maamuziJust utani Dada yangu Pole Sana na samahani Kama umekwazika
wew 32Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
26Usinizeeshe
Aisee..
Hahaaahaaaa......Kuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Hahaaahaaaa.....Le Mutuz - 21
Duhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wewe unaonekana una 40s maana huu umri ndiyo uliojaa wenye stress.
SawaThe bold-29-34
Mshana-39-4_
Beira-17
Naunga mkono hojaHahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.