Baishara ya vocha za jumla

Baishara ya vocha za jumla

application

Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
30
Reaction score
8
Habar wana jf nataka kufanya biashara ya vocha za jumla sijajua utaratibu wake na faida yake km nitapat mtyu kwenye ujuzi na hii biashara akanielekeza itakuwa safii kwan atakuwa kanisaidia sanaa najua hap ni kila kitu hakuna kinachoshindikan km tukihamua kushirikiana .Asante
 
ukishaamua kufanya na kama upo Arusha nistue nitakuwa nakuungisha nyingi nyingi mkuu...
 
Back
Top Bottom