INAUZWA Baiskeli inauzwa

Tubadilishane na simu kali AFU jiongeze kama na 50000 nyingine
 
utauza mpaka kitanda boss usiuze hiyo 50 itakufikisha wapi
Usichokijua kiache kama kilivyo, nasafiri kwa mda kama miezi sita kikazi kwa hiyo naona itaharibika na hakuna wa kuitumia ni bora niiuze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…