Baiskeli inayoelea juu ya maji

Baiskeli inayoelea juu ya maji

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Anaitwa Frank Darko ni mwanafunzi wa chuo kutoka nchini Ghana Ameweza kutengeneza baiskeli inayoelea juu ya maji.

Ni mwanachuo anayesomea maswala ya Graphic Design ndani ya Tarkoradi Technical University. Aliweza kudesign hii baiskeli ili kuwasaidia wanafunzi kuweza kuvuka maji eneo hilo.

Unampa maksi ngapi huyu mdogo wetu [emoji92]
FB_IMG_1620063817840.jpg
 
Calculate kwanza hapa

9X11+1-100/1(2+2-2)+5X4-0.11111111......1=?%
 
Atengeneze boda boda watu waende Zanzibar faster
Tena boda boda ndio rahisi sana sababu ina engine we ni kufunga maboya tu pembeni na kupiga kiki 😺!!!

Kwenye tairi ya nyuma pale unafunga rim ndogo yenye mapanga badala ya tairi! Ukishapiga starter ikakubali wewe kufika zenji ni kitendo cha full tank moja tu😸 nusu saa upo zenji
 
Safi sana
 
Back
Top Bottom