Bajaj aina ya TVS zinauzwa bei gani Dar?

Bajaj aina ya TVS zinauzwa bei gani Dar?

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Wakuu, kuna dogo huko mkoani amegundua opportunity ya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaj. Amenipa specification mojawapo kuwa angependa Bajaj hiyo iwe ya aina ya TVS. Nadhani humu kuna wadau wa Bajaj, naombeni mnijulishe bei yake na maeneo zinakopatikana jijini Dar.

Natanguliza shukrani zangu.
 
dar, baada ya jengo la posta mpya ukima unaelekea askari monument kama sikosei panaitwa car general
 
5.8 m Car n General postaKwa mawakala walioko wilaya zote za DSM 5.9 m
 
Back
Top Bottom