Wakuu, kuna dogo huko mkoani amegundua opportunity ya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaj. Amenipa specification mojawapo kuwa angependa Bajaj hiyo iwe ya aina ya TVS. Nadhani humu kuna wadau wa Bajaj, naombeni mnijulishe bei yake na maeneo zinakopatikana jijini Dar.
Natanguliza shukrani zangu.