Bajaj boxer x cross 2016

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,333
Reaction score
2,484
Wataalam wa pikipik..kuna pikpik boxer toleo jipya nauliza kama kuna mdau humu ndani kaitumia vp ubora wake..naitaman sana
 
Ndo kama hii mi imenipendeza sana nataman kuinunua..nataka ambaye kaitumia nijue ubora wake
 
Dah jf kwa kuuchuna..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja waje wenye uzoefu na hio k2
 
Jf ya sasa sio ile ya zamani..hakuna wataalam kabisa
 
Ndo ukweli huo mi niko kitambo humu zamani wataalam wange dadavua kuanzia engine..
 
Mkuu chukua tu hiyo pkpk haina shida, kikubwa zingatia services.
Ni nzuri kwa bodaboda hata matumizi binafsi.

Pia usisahau usafi maana boxer ikiwa safi inapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…