Ushauri wangu ulivorudia Rangi ungebadili na matairi ili "iwe mpya" kote. Maana sasa ni wazi matairi na body haviendani, hapo ndipo inaonyesha kua pengine hata body ilikua imechakaa sana ukaamua kurudia rangi.Bajaj MC 459 CDG
Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu.
Haijawahi funguliwa engine hata kidogo.
Ina Bima inaisha mwezi wa 5 2021
Matengenezo:
Matairi 2 ni vipara kubadilisha
Bei Milion 5,000,000 negotiable kutokana na matengenezo
Mawasiliano
0743727328
Mmiliki hakuna.
View attachment 1725108View attachment 1725109View attachment 1725110View attachment 1725111View attachment 1725112View attachment 1725113View attachment 1725114View attachment 1725115
dah hapo ndio uwezo wng ulipo ishia mkuu! basi kila la helM
Mbali boss wangu.