INAUZWA Bajaj TVS inauzwa- Dar

Sultan Zuwera

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
246
Reaction score
336
Iko katika hali nzuri ni ya January 2021.

Ina vitu na nyaraka muhimu kama ifuatavyo:

1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Mapato TRA hadi Dec 22
4. Imefungwa GPS
5. Imejengewa vizuri sehemu ya kukaa abiria
6. Ina sight mirror za gari
7. Ina ngao madhubuti kwa nyuma
8. Seat Cover zote zimeshonwa kwa Plastic maalum.
Ipo Kitunda Relini Dar es Salaam. Kwa mawasiliano 0783237333.
 
Bei gani boss!?
 
Tuwasiliane kwa namba nilitoa.
Mkuu yaani umeweka marlezo yote hayo halafu bei eti hadi nikupigie? Hivi nipeni siri ya hii mbinu ni nini?
Kwamba Unatoa taarifa zote lakini bei hadi tukupogie kuna ugumu gani kuweka bei?
 
Mkuu yaani umeweka marlezo yote hayo halafu bei eti hadi nikupigie? Hivi nipeni siri ya hii mbinu ni nini?
Kwamba Unatoa taarifa zote lakini bei hadi tukupogie kuna ugumu gani kuweka bei?
Kama una WhatsApp tuwasiliane kwa namba 0716148888. Karibu
 
Kama una WhatsApp tuwasiliane kwa namba 0716148888. Karibu
Weka bei hapa kujipunguzia usumbufu Ili wakupigie watu walio serious tuu. Wabaki wenye uhitaji wakupigie kuomba punguzo. Biashara nyingine huwa mnajichelewesha wenyewe, bei za Bajaj zinajulikana kwani ukisema milioni 6,7 au 8 unapungukiwa nini?, Kama bei yako Iko juu unatoa na sababu kwamba ulifunga GPS, bajaji ilikuwa imepack imetembea km chache n.k, Sasa hayo yote mpaka uyaelezee kwenye simu si utachoka sana na simu kibao!?.. Watanzania kwenye marketing bado saaana.
 
Fanya millioni 8 hio kumi unayodai nyingi sana
Khaaaaaaaaaaaaa mbona anabadilika badilika?! [emoji23][emoji23][emoji23] Me kanianzia 7.5 kanambia 6.5 tufanye biashara. Asieee utapeli kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…