T Tasia I JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 1,223 Reaction score 193 Jan 20, 2012 #1 -Ni 4stroke (bajabi nzuri kuliko 2stroke, na TVS, ) -ipo katka hali nzuri kabisa, inafanya kazi kwa maintanance ya bajaj mpya (kumwaga oil na vispea vidogo vidogo) -Ipo dar es salaa. -Inji na bodi ni zuri sana. Mwanye kuhitaji kuiona apige 0714488447.
-Ni 4stroke (bajabi nzuri kuliko 2stroke, na TVS, ) -ipo katka hali nzuri kabisa, inafanya kazi kwa maintanance ya bajaj mpya (kumwaga oil na vispea vidogo vidogo) -Ipo dar es salaa. -Inji na bodi ni zuri sana. Mwanye kuhitaji kuiona apige 0714488447.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,988 Reaction score 30,183 Jan 20, 2012 #2 Bei kwanza kabla ya kukupigia
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 4,128 Jan 22, 2012 #4 weka bei,mbona waoga wa kuandika bei?jueni biashara
P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 104 Jan 22, 2012 #5 weka bei,picha!na pia haijawah kupata ajali?manake kibajaj kikishapata ajali ni msala huo!pia ni bajaj ya kichina au ki india!
weka bei,picha!na pia haijawah kupata ajali?manake kibajaj kikishapata ajali ni msala huo!pia ni bajaj ya kichina au ki india!
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Jan 23, 2012 #6 Parachichi said: weka bei,picha!na pia haijawah kupata ajali?manake kibajaj kikishapata ajali ni msala huo!pia ni bajaj ya kichina au ki india! Click to expand... Kaingia mitini,aje ajibu haya maswali Na ni nzuri ukilinganisha na 2 stroke in which sense,vp kuhusu garama za matengenezo na upatikanaji wa spea?
Parachichi said: weka bei,picha!na pia haijawah kupata ajali?manake kibajaj kikishapata ajali ni msala huo!pia ni bajaj ya kichina au ki india! Click to expand... Kaingia mitini,aje ajibu haya maswali Na ni nzuri ukilinganisha na 2 stroke in which sense,vp kuhusu garama za matengenezo na upatikanaji wa spea?