Bajaji Bora kwa kijiwe au Bolt na Uber?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.

Sasa Kuna kijiwe huku Kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=

Na mzunguko wa kawaida Sana.

Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure kujiunga pia mzunguko wa pesa ni mkubwa.

So Kama Kuna mtu yoyote anajua kuhusu bolt na kijiwe au faida na changamoto za kijiwe na bolt HSA town

Naombeni msaaada Ndugu Zangu
Ahsante Sana
Nawapenda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…