Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mara zote kwenye kila jambo linalokusanya umati kunakuwa na vijimambo nyuma ya pazia ambavyo havipewi kipaumbele.
Sasa katika vijimambo vya Sabasaba vya leo sisi wengine tumeona hii kitu na tumeamua kushirikisha wadau.
Sasa katika vijimambo vya Sabasaba vya leo sisi wengine tumeona hii kitu na tumeamua kushirikisha wadau.