Manwambele
Senior Member
- Jan 4, 2016
- 110
- 172
Imesajiliwa lini? Kama sikosei itakuwa mwaka 2019!? Au vipi? Toa habari zaidi tuingie sokoni tufanye biashara!Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka 2021, kwa wajasiriamali au watu wenye ndoto za kupata hesabu ya 20k au 15k kutegemea na mkoa uliopo hii ni kwa ajili yenu,
Bajaji ni nzima haina shida yoyote,Aina Tvs king Deluxe Mc BXH 767 Bado Ipo katika hali nzuri.
Karibuni kwa mawasiliano 0677210276
Bei 3.3 bei inapungua usisite karibuni,kwa picha zaidi ncheki Whatsap boss.
Welcome
View attachment 2062957View attachment 2062958View attachment 2062959
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sasa ndio bei halisi ya bajaj yenye namba b,hapo sasa uandae kama laki 3 za kubadilisha vituIkifika 2m nishtue, january hii alafu fundi akisema inatatizo bei inapungua
Lazima uandae hela ya matengenezo...hapo anatafuta wa kumuachia matatizo....akiiuza lazima umkute barHii sasa ndio bei halisi ya bajaj yenye namba b,hapo sasa uandae kama laki 3 za kubadilisha vitu
😁😁😁Lazima uandae hela ya matengenezo...hapo anatafuta wa kumuachia matatizo....akiiuza lazima umkute bar
Ndio wabongo tulivyo..tunahamishiana matatizo, kitu kikiwa kizuri mtu hauzi mpaka anakufa😁😁😁
umenikumbusha biashara moja hivi niliwahi push chombo kilikuwa na dalili ya kunifia,, badae nikatulia sehemu kujipongeza
Broo lbda chombo chako lakini hiki chombo ni kizima kabisa ruhsa kuja na fundi wako broo[emoji16][emoji16][emoji16]
umenikumbusha biashara moja hivi niliwahi push chombo kilikuwa na dalili ya kunifia,, badae nikatulia sehemu kujipongeza
Hyo offer ya 2m vp..hujaiona auYaani hii bei naiuza sio kwa ajili ya tamaa nimeamua kuuza sababu ya usumbufu wa madereva so ukinunua hakuna cha service sababu service nilishaifanyia kabisa yan hapo iko poa ni mwendo wa safari au lbda kufunga mziki 2 kwa ajili ya kujiliwaza ukila vichwa vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA hudaiwi,wiper inafanya kazi,starter nzima,master cylinder nzima,overhaul imefanywa mara ngapi????Yaani hii bei naiuza sio kwa ajili ya tamaa nimeamua kuuza sababu ya usumbufu wa madereva so ukinunua hakuna cha service sababu service nilishaifanyia kabisa yan hapo iko poa ni mwendo wa safari au lbda kufunga mziki 2 kwa ajili ya kujiliwaza ukila vichwa vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kila ki2 kizima na haijawahi fanywa overhaulTRA hudaiwi,wiper inafanya kazi,starter nzima,master cylinder nzima,overhaul imefanywa mara ngapi????
Demu haongwi Bajaj boss!!!Ikifika 2.3 niambie nimchukulie graduate mmoja hivi hana la kufanya mtaani
Nilipoweka bandiko, au unataka nikutumie nyingine?Hizo picha za bajaj ulipiga lini?