INAUZWA Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka

Kwa muonekano tu wa nje, chombo bado iko poa. Ni suala tu la muda kwa matajiri ambao wako serious kukutafuta ili mmalizane kwa wema kabisa.
 
Mashine inaonekana bado iko njema
 

Unaweza kunicheki DM tuyajenge kama vipi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…