Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Wakuu hali gani?
Naingia kwenye mada tajwa moja kwa moja napenda kupata usaidizi wa kitaalamu hasa katika biashara ya bajaji.
Nimeona fursa mahala ila kuna miinuko kama ile ya Mbezi ya Kimara na ka ile unaelekea Kisarawe. Sasa napenda kufahamu bajaji katika miinuko ka hiyo inauwezo wa kuhimili ikiwa inatumika kusafirisha abiria?
Na ka jibu ni ndiyo inaweza kuwa na maisha marefu ka ikitembea katika barabara za kawaida zenye tambarare na miinuko ya kati?
Natanguliza shukrani