Kwa milima ya huku mbezi naona zikipita tu, makabe,goba,malamba,tegeta A kote huko ni milima lakin bajaji zinapitasawa mkuu inauwezo kwenye milima lakini?
uwezo wa kuishi ni ka miaka mingapi zkiwa zinapiga kazi katika mazingira hayo ikiwa service ni standard pia uendeshaji wake ni mzuri?Kwa milima ya huku mbezi naona zikipita tu, makabe,goba,malamba,tegeta A kote huko ni milima lakin bajaji zinapita
Hapo sijui kiongozi,,,kwasababu mida ya jion kijiwe nachopenda kukaa huwa pana madereva basi unikumbushe niwaulize hilo swaliuwezo wa kuingi ni ka miaka mingapi zkiwa zinapiga kazi katika mazingira hayo ikiwa service ni standard pia uendeshaji wake ni mzuri?
Hapo sijui kiongozi,,,kwasababu mida ya jion kijiwe nachopenda kukaa huwa pana madereva basi unikumbushe niwaulize hilo swali
Hapa MBEYA ukija uone bajaj zinavyosomba abiria ndugu zangu wasafwa kutoka Isanga kwenda Kawetere Mali asili daily utajua hapo kimara hakuna milimaWakuu hali gani?
Naingia kwenye mada tajwa moja kwa moja napenda kupata usaidizi wa kitaalamu hasa katika biashara ya bajaji.
Nimeona fursa mahala ila kuna miinuko kama ile ya Mbezi ya Kimara na ka ile unaelekea Kisarawe. Sasa napenda kufahamu bajaji katika miinuko ka hiyo inauwezo wa kuhimili ikiwa inatumika kusafirisha abiria?
Na ka jibu ni ndiyo inaweza kuwa na maisha marefu ka ikitembea katika barabara za kawaida zenye tambarare na miinuko ya kati?
Natanguliza shukrani
nashukuru mkuu uliweza kudumu nayo kwa muda gani?ya aina gani kama tvs usiwe na shaka nilikuwa naendesha tvs ya 2015 kile chombo waindi wamejitahd nilipakia watu wanne nyuma na dereva pale niko na abiria wa wili huku na huku jumla saba na viroba vya mahindi from kijiji flan bhna chombo iko no moja yake ni hatari ilikuwa ni mlima mkubwa ambao gia zngne hazikubal zaid ya moja tena kuna sehem nilikosea nikaweka gia no mbil ikakataa nkajikuta imesimama lkn moja ilivokubal ingia nkaondoka mliman na watu saba kifupi tvs inaenda barabara na miinuko yoyote gari ya kawaida inaenda
niliiacha sema mpaka sasa naiona inapiga kazi cha msingi zingatia service tunashukuru mkuu uliweza kudumu nayo kwa muda gani?
Service kama milima sana Piga kila wiki!. Life span itakuwa kuanzia miezi 36 kuendelea!uwezo wa kuishi ni ka miaka mingapi zkiwa zinapiga kazi katika mazingira hayo ikiwa service ni standard pia uendeshaji wake ni mzuri?