Bajaji moja au boda boda 2?

Kukudume2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
1,659
Reaction score
734
Wadau naombeni ushauri Nina million 5 je ninunue boda boda 2 au bajaji moja kwa biashara?wale wenye uzoefu naomba ushauri
 
Nunua bajaji inalipa na unaweza kuisimamia vizuri zaidi
 
Kwanza 5mil haitoshi bajaji,labda kama utanunua used kutoka kwa mtu.
Hesabu ya bajaji ni 15000-20000 kwa siku na kwa wiki ni 105000-140000.
Hesabu ya bodaboda ni 7000-10000 kwa siku na kwa wiki ni 49000-70000 kwa bodaboda mbili 2x(7000-10000)--->2x(49000-70000) kwa wiki.

Service:bajaji mpya ni 25000-30000 kwa mwezi mara mbili
:bodaboda 2x(10000-15000) baada ya wiki mbili.

Kama bajaji ni mpya nakushauri nunua bajaji itakulipa.
 
Kumpata dereva mwaminifu wa kukuletea hiyo hesabu sasa="Frajasa, post: 18226999, member: 48447"]Kwanza 5mil haitoshi bajaji,labda kama utanunua used kutoka kwa mtu.
Hesabu ya bajaji ni 15000-20000 kwa siku na kwa wiki ni 105000-140000.
Hesabu ya bodaboda ni 7000-10000 kwa siku na kwa wiki ni 49000-70000 kwa bodaboda mbili 2x(7000-10000)--->2x(49000-70000) kwa wiki.

Service:bajaji mpya ni 25000-30000 kwa mwezi mara mbili
:bodaboda 2x(10000-15000) baada ya wiki mbili.

Kama bajaji ni mpya nakushauri nunua bajaji itakulipa.[/QUOTE]
Kumpta
 
Wadau naombeni ushauri Nina million 5 je ninunue boda boda 2 au bajaji moja kwa biashara?wale wenye uzoefu naomba ushauri
UTAKUWA UNAENDESHA MWENYEWE AU UTAAWAACHIA MADREVA?

KAMA WEWE MWENYEWE UTAKUWA UNAFANYA BIASHARA HIYO NI VYEMA UUUNUNUE BODABODA MOJA UANZE NAYO KWANI INAFAIDA KUBWA KWA WIKI WWAWEZA KUKUSANYA SH70,000 NA ZAIDI NA KAMA UTAWAPA MADREVA YAANI VIJANA HITAKUKOSTI KWANI MADREVA VIJANA HAO UTAKAOWAPA WANAZINGUA BALAA USIOMBE

JIPANGE UFANNYE MWENYEWE UTAONA FAIDA YAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…