INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Ilianza kazi tarehe moja mwezi wa tatu, ikafanya kazi miezi 2 dereva akazingua, so imepaki toka mwezi wa 5 , mwenyewe hataki tena biashara ya bajaji

πŸ“ž 0758851175, 0713220021
 
Biashara mbaya au sio mzooefu wa biashara kama coaster zimepunguzwa hesabu! corona sio poa
 
biashara mbaya au sio mzooefu wa biashara kama coaster zimepunguzwa hesabu!corona sio poa
Sio mzoefu wa biashara hii ya bajaji,dereva alivyomsumbua tuu kuleta hesabu kama walivyokubaliana,akakata tamaa kabisa na biashara kaamua auze tuu
 
Sio mzoefu wa biashara hii ya bajaji,dereva alivyomsumbua tuu kuleta hesabu kama walivyokubaliana,akakata tamaa kabisa na biashara kaamua auze tuu
hiyo biashara ya vyombo vya moto msimu huu wa corona ni mbaya sana ila kwa hiyo offer itauzika tvs ni mpango mzima ikiwa mpaka mwezi wa 8 naweza nikaichukua nije niipige sticker music system huku chuka alafu nitupe pale shivaz na trip a lazima ilipe.

Kwa ushauri Dar ukipakia mwenge to Mbezi Luisi pesa ipo nishapiga sana hiyo issu alafu mwenge ni junction ya kazi kuliko popote kwa Dar ukiwa na bajaj!ila uzofu wa kazi ukiondoa usharo huyo dereva boya tu
 
Madereva tuu ndo pasua kichwa
 
Shule zote zikifunguliwa hali itakuwa shwari.
Ni kweli madereva wengi wa vyombo vya usafiri wanalalamika ugumu wa kupata fedha hivyo mabosi wastaarabu wamewapunguzia kiwango cha kipande hadi shule zitakapofunguliwa.
 
Hawa walishindwana kwasababu dereva alikuwa anakula hesabu sio kwamba alikuwa hapati hesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…