INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

Ebhana ngoja nipambane nilete mteja naweza pata hata hela flan nikanywa chai.
 
Aisee imeniuma kweli hii bajaji...hata 6 ningelipa...hii biashara ukikomaa mwenyew lazima ununue Bajaj ingine..kwa jins ilivyo million sita ni kama jamaa ameokota tu..dah siyo bahati yangu,, nafungua uzi leo na leo imeuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…