mkuu pale opposite na mlimani city near to former steers ukielekea survey kuna wachina walileta three wheel car, ipo katika mfumo wa bajaji au pikipiki ya miguu mitatu kwa ajili ya mizigo, body yake inabinua na ni 1.5 tons, engine yake ni diesel, ingine yake waweza kutumia kama generator ukapfua umeme, unaweza kuendesha mashine za kusaga pia engine ile inaweza kuvuta maji, quite interesting, niliziona na walinipa picha zake lakini bei walikua hawajapanga