Yamunguomary
New Member
- Apr 15, 2021
- 4
- 3
...᜵
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdogo wangu amepata ajali ya bajaj, sasa bajaji hiyo ni ya mkopo kutoka NMB
Je kipindi hiki bajaj yake inatengenezwa mkataba unasimama au unaendelea anaejua
Tumsaidie
Kanjibahi anakopesha magari?Naona Secret ID kaja kivingine.
Kwanini hukukata bima kwa hao hao NMB maana na wao ni Mawakala
Mkataba wenu wasemaje?
NB: Ukichukua gari kwa MO kwa mfumo wa Lease, Operate, Own lazima ukate bima kubwa kwake kulingana na thamani ya gari husika.
Ikitokea ajali atalichukua na kulitengeneza yeye, kama halifai atakupa jingine
@HIMARS kwani tuna ugomvi mkuuu [emoji23]Naona Secret ID kaja kivingine.
Kwanini hukukata bima kwa hao hao NMB maana na wao ni Mawakala
Mkataba wenu wasemaje?
NB: Ukichukua gari kwa MO kwa mfumo wa Lease, Operate, Own lazima ukate bima kubwa kwake kulingana na thamani ya gari husika.
Ikitokea ajali atalichukua na kulitengeneza yeye, kama halifai atakupa jingine
Ya aina gani au lolote tu....
Labda msaidie mtoa mada kumuelewesha kwa faida ya wengi nikiwemo mimi.
Anakopesha Magari ya MizigoYa aina gani au lolote tu....
Umekata Bima NMB au kwingine?Labda msaidie mtoa mada kumuelewesha kwa faida ya wengi nikiwemo mimi.
Kwamba mkopo unaendelea ina maana akiendelea na kazi anakuwa na deni au bajaj ikitengemaa wanaichukua?
Kwa upande wangu nimekata alliance insuarence.
Mkopo hausimami, unaedelea.Kwa upande wangu nimekata alliance insuarence.
Kupitia maendeleo bank insuarence ageny
Bajaj nimechukua maendeleo bank.
Msaada hapo
Hasa marejesho mkuu
Anhaa ahsante sana.Mkopo hausimami, unaedelea.
Kama wakala wako ni benki iliyokukopesha, waambie wafanya upesi ili uweze rudi barabarani.
Kwa NMB wao hutoa bima wenyewe, bajaj ikiharibika sana wanahakikisha wanalipwa pesa zote za bajaj mpya afu mnakaa mezani upya kuona kama waendelea au wakurudishie pesa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Waliikatia bima, anasema hajui chochote kuhusu mkataba ndio maana kaomba nimsaidieSoma mkataba wako.
Hiyo Bajaj yako hawakukatia Bima?
Bado deni litaendelea kuwepo, muhimu wajulishe kuwa imepata ajali, wapelekee zile copy za fomu za polisiAnhaa ahsante sana.
Kwaiyo kama ntatumia miezi miwili katika matengenezo ina maana nikirudi barabarani nakuwa na hilo deni au ??
Au ikipona mkataba ndio umenishinda tayari??
Sawa sasa kaka sijakuelewa jamboBado deni litaendelea kuwepo, muhimu wajulishe kuwa imepata ajali, wapelekee zile copy za fomu za polisi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app