Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Habarini wakuu, naomba msaada mwenye ujuzi na uzoefu kuhusiana na bajaji za mizigo za wanhoo zenye carrier kubwa kidogo, anipe mwongozo hasa kuhusiana na uimara wake ukilinganisha na hizi nyingine za toyo, sunlg, mkombozi nk. Nawasilisha