R Rog chimera JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 398 Reaction score 706 Sep 26, 2018 #1 Habarini wakuu, naomba msaada mwenye ujuzi na uzoefu kuhusiana na bajaji za mizigo za wanhoo zenye carrier kubwa kidogo, anipe mwongozo hasa kuhusiana na uimara wake ukilinganisha na hizi nyingine za toyo, sunlg, mkombozi nk. Nawasilisha
Habarini wakuu, naomba msaada mwenye ujuzi na uzoefu kuhusiana na bajaji za mizigo za wanhoo zenye carrier kubwa kidogo, anipe mwongozo hasa kuhusiana na uimara wake ukilinganisha na hizi nyingine za toyo, sunlg, mkombozi nk. Nawasilisha