Bajaji zenye tanki la maji safi nyuma

Bajaji zenye tanki la maji safi nyuma

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
602
Reaction score
152
Wanajamvi,
Naombeni kufahamishwa kuhusu hizi bajaji zenye tank la maji safi nyuma. Ni kwamba zinakuja kuuzwa kama zilivyo au ni modification inafanyika tu hapahapa bongo?

Asanteni
 
Hata mimi ningependa kujuzwa hii habari, maana naziona nyingi sana maeneo ya Sinza zikiwa zimebeba maji safi.
 
Zote zinafanyiwa modification pale Tabata na Gerezani
 
Wakuu hebu nijuzeni ,sipati picha kuhusu hizo bajaji.hilo tank la maji safi hao jamaa wameweka kuuza maji au inakuaje? how many liters it can contain.Na details nyingine kama zipo.
 
Wakuu lile tank linauza bei gani, na ni litre ngapi?
 
Back
Top Bottom