Wanajamvi,
Naombeni kufahamishwa kuhusu hizi bajaji zenye tank la maji safi nyuma. Ni kwamba zinakuja kuuzwa kama zilivyo au ni modification inafanyika tu hapahapa bongo?
Wakuu hebu nijuzeni ,sipati picha kuhusu hizo bajaji.hilo tank la maji safi hao jamaa wameweka kuuza maji au inakuaje? how many liters it can contain.Na details nyingine kama zipo.