KERO Bajaji zimekuwa kero sana kati kati ya jiji Serikali angalieni hili swala

KERO Bajaji zimekuwa kero sana kati kati ya jiji Serikali angalieni hili swala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Moja kati ya madereva wa hovyo ni wanaoendesha bajaji

Kati kati ya foleni wanapita katikati kama boda

Anaweza akajipenyeza.mbele yako kwa kushtukiza na hazina balance ukizigonga tu zinapinduka



 
Back
Top Bottom