Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi wote wenye vigezo ) , japo hali imekua tofauti na danadana zimekua nyingi bila wafanyakazi kujua hatma kamili ni ipi na kushusha morali ya kazi pia imedumaza hali ya maisha tofaut na matarajio ya awali
Kiuhalisia Ucheleweshaji wa ajira rasmi unawanyima watumishi hao stahiki zao kama sheria na miongozo ya kazi/serikali inavosema mfano malipo ya shift za usiku ,overtime ,weekends na public holidays
Kama mchakato wa uhakiki watuishi umeshafanyika na team ya utumishi iliyoenda Jkci kuhakiki sasa ni muda muafaka kwa serikali kwa mwaka huu wa fedha wa 23/24 unaonza july uanze pia ajira rasmi kwa watumishi hao wapate cheki namba na stahiki zingine….
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ,utumishi Wizara ya Afya Tanzania CHADEMA ccm ACT Wazalendo Samia gang