Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 335
Huo ni mkakati wa serikali kujiongezea mapato na wala sio kwa ajili ya watu kujionesha kuw wanapesa...
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?
sitaki kuamini kama itakuwa ni moja kati ya vyanzo vipya vya mapato vilivyobuniwa na sirikali..haya kazi kwao wale wa promo..
Millioni 5? Hapa Maryland tags maalumu unalipa dola 50 tu.
ninakuhakikishia kitakuwa chanzo kipya cha mapato, tz ina matozi wengi sana, mfano angalia wanafunzi wa vyo vikuu maisha wanayoishi vyuoni kisha siku moja pata nafasi ya kutembelea wanakotoka. Kwa ujinga huu, serikali itajipatia kipato cha kutosha tu.
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?
Millioni 5? Hapa Maryland tags maalumu unalipa dola 50 tu.
Ritz,Majimbo mengine dola ngapi?
Bulesi,Kumbe Jasusi uko majuu siku zote nilifikiri uko bongo; haya salaam zao vijana wangu nao wako huko Maryland sehemu inaitwa Montgomery village!!Wale mafisadi wetu wenye FERRALI na LAMBOGINI ndio watanunua hivyo vibao vya mill.5!!