Jembe Ulaya
JF-Expert Member
- Oct 27, 2008
- 456
- 104
hapo kwenye red kiwese chenyewe bado ukiwa kwenye foleni unazima gariGari yenyewe Corolla ya mil 7, na umejipinda pinda hadi ukanunua, registration ya mil 5 ya nini?
Kiwese chenyewe waweka shil 10 elf kila ukifika sheli, watanzania tuache matanuzi.
Hao wa kuweka namba maalum ni wale wa mashangingi ya milioni 200-500, kwao mil 5 ni vijisenti!
Muganyizi 1; Muganyizi 2; Muganyizi 3; Muganyizi 4; Muganyizi 5;.......
kaka nimeipenda hiyo katika maandishi mekundu, tena naongezea simba mtoto.Ha Ha Sie wenye Baiskeri tushayazoea hayo tena tunaandika bure kabisa km,Usimchezee chatu nk
Hizo siyo plate no.