Halafu kwenye kujadili kero za muungano wanakutana waziri mzanzibari wa muungano na waziri wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar wanajadili kero za mtanganyika . Hahaa tutafika tu!Unakuta Mzanzibar anakuwa Waziri wa wizara isiyo ya Muungano!!!
Acheni tule kwa ^njefu^ (plural ya urefu) za kamba zetu!Hiyo ni bajeti ya Tanganyika! Ila cha kushangaza humo bungeni utakutana na Wazanzibar nao wanakula posho! Sijui huwa wanawakilisha nini!
Na wakati huo huo, huwezi kuwakuta Watanganyika kwenye lile Baraza lao la Wawakilishi kule Zanzibar wakipokea posho! Au kuhudhuria vikao vyao!
Muungano wa hovyo kabisa huu!
Masauni[emoji848]Unakuta Mzanzibar anakuwa Waziri wa wizara isiyo ya Muungano!!!