Naona wameamua wawe na ambulance kabisa manake kurushiwa mawe dakika yoyote
Naona wameamua wawe na ambulance kabisa manake kurushiwa mawe dakika yoyote
Let Think BIG.
Msafara wa Waziri Mkuu utakuwa na haya yafuatayo:-
1. Gari ya Mheshimiwa Waziri Mkuu
2. Gari ya Wanausalama
3. Gari lingine la wanausalama
4. Gari la RPC
5. Gari la RC
6. Gari la DC
7. Gari la OCD
8. Gari la Mkugurugenzi wa Halimashauri
9. Gari/Magari ya Wabunge wa Mkoa/Jimbo husika
10. Gari la Polisi
11. Ambulance
12.
13,
Sasa ukisoma hapo utaona kwamba tunaongea upuuzi tu na sisi kwa maana wa could do better kwa kuongelea mambo mengine ya maana!
My thousand words....!
"Leo mchana [15-10-08] nikiwa njiani kurudi Iringa nilikutana na msafara wa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda kilomita kadhaa kuvuka daraja la Mto Ruaha Mkuu, mpakani mwa Iringa na Morogoro. Ulikuwa ukielekea Morogoro..."
Picha na maelezo kwa hisani ya: mjengwa.blogspot.com
Let Think BIG.
Msafara wa Waziri Mkuu utakuwa na haya yafuatayo:-
1. Gari ya Mheshimiwa Waziri Mkuu
2. Gari ya Wanausalama
3. Gari lingine la wanausalama
4. Gari la RPC
5. Gari la RC
6. Gari la DC
7. Gari la OCD
8. Gari la Mkugurugenzi wa Halimashauri
9. Gari/Magari ya Wabunge wa Mkoa/Jimbo husika
10. Gari la Polisi
11. Ambulance
12.
13,
Sasa ukisoma hapo utaona kwamba tunaongea upuuzi tu na sisi kwa maana wa could do better kwa kuongelea mambo mengine ya maana!
Let Think BIG.
Msafara wa Waziri Mkuu utakuwa na haya yafuatayo:-
1. Gari ya Mheshimiwa Waziri Mkuu
2. Gari ya Wanausalama
3. Gari lingine la wanausalama
4. Gari la RPC
5. Gari la RC
6. Gari la DC
7. Gari la OCD
8. Gari la Mkugurugenzi wa Halimashauri
9. Gari/Magari ya Wabunge wa Mkoa/Jimbo husika
10. Gari la Polisi
11. Ambulance
12.
13,
Sasa ukisoma hapo utaona kwamba tunaongea upuuzi tu na sisi kwa maana wa could do better kwa kuongelea mambo mengine ya maana!
Naona sasa watu tunakuwa wajinga...
Lawezekana kuwa dogo sana machoni pako na kwa baadhi ya wachache uwajuao. Lakini miongoni mwa Watanzania wengi masikini hilo naamini kuwa ni kubwa kwa kipimo cha maisha yao.u mean to tell me that of all the misappropriation that happens in Tanzania hili ndio mmeona kubwa..lol
Usijali, hatuna akili siye. Tulifikiri huo ni msafara wa Michael Jackson akielekea Serengeti ku-shoot kideo kipya cha thriller version 4, the master copy.mngekuwa na akili mngegundua kuwa huu ni msafara wa PM akiwa kwenye ziara including,
Akiwa anaenda Morogoro siyo kwamba anakuwa anakwenda kazini pia ndani ya nchi yake?! Au anakuwa kama anasafiri kwenda Pluto hivyo anahitaji kujilinda na vimondo njiani?!as stated above. RC, PRC, DC au ma DC wote wa mkoa husika, usalama, na maafisa wengine wengi.. Mimi nimkazi wa Oysterbay na mara nyingi nakutana na msafara wa waziri mkuu... ukweli ni kwamba akiwa dar-es-salaam akienda kazini anakuwa na gari yake, mbili za walinzi na piki piki...
Hata zile zenye manyoya tu, nazo za paswa kusikilizwa kwanza.sasa muache kuwa mnatoa hoja zisizo na kichwa wala mkia...
Our objective is to see the economy of our Nation forge ahead, and we know that can be enhanced by curbing unnecessary expenditures within the government and its many institutions.... we certainly won't be doing so while - LoL! 🙁This is the loss of objectivity in exchange for jazba... mnakuwa kama Michael Moore..lol..