Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

Congressman

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2020
Posts
781
Reaction score
2,305
Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.

Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?

Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
 
Unapata premio nzuri kabisaa
Mfano hii iliuzwa 8m
IMG_20220525_144222_418.jpg
 
Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.

Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?

Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
Kwa nn usiongeze kiasi ukaagiza kabisa
 
Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.

Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?

Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.

Mimi ninayo naitoa kwa mkopo unalipa 50%

Nauza 16,500,000Million

50% 8,250,000Million

Rejesho kila mwezi 792,000Tsh ndani ya mwaka mzma

Nakusajilia gari ni chassis number karibu sana
0ed06f27-15a1-4d8c-a02b-4993d4bf2476.jpg

8ae257aa-5fba-4df6-8be4-33d51e1d8bed.jpg

a1e1c119-1996-4d49-9ee9-b991f03f2e2f.jpg

35bea68f-aa1e-4fc2-9dc0-3c4efce4e341.jpg

f983e0ef-1468-4dd5-85b8-3e4e0203d103.jpg
 
Duh, kumbe inawezekana ila mbona naona hizi gari kwa hapa nyumbani zinauzwa 15M had 16M.

How comes kwa 13.5M itoshe kuagiza gari japan.?
Hiyo iliyoonhezeka ndo faida yao, wanafanya biashara ati.
 
Dah mkuu unashawishi

Karibu kaka yote yanawezekana hata kuagiza pia 7,700,000Million ushuru tunakulipia unailipa kdg kdg ndani ya miez 12

Ushuru 6,110,000Million pekee

Clearing utalipia mwenyewe mkuu

Bimq kubwa + Car tracking utalipia

Karibu sana

0769177042
IMG_8328.jpg

IMG_8327.jpg

IMG_8326.jpg
 
Back
Top Bottom