Bajeti ya 2017/2018 na Usingizi

Richbest

Senior Member
Joined
May 23, 2011
Posts
101
Reaction score
24
Habari wandugu mwenzenu ninakabiliwa na tatzo LA ucngiz wa ajabu kiais kwamba hata nikilala mapema ucku, asubuh nikitulia Kwa muda mfupi kabla tu ya SAA NNE ntasinzia .naomben msaada Kama kuna dawa yoyote ya kumaliza shida hii
 
Pole ndg....mm nina tatizo la kutolala almst wiki mbili sasa ucku nakaa mpk saa 9 hamna ucngz
 
Pole ndg....mm nina tatizo la kutolala almst wiki mbili sasa ucku nakaa mpk saa 9 hamna ucngz
Pole rafiki mi ucngiz ninao WA kutosha Kwa kwel au hilo tatzo lako laweza kusababshwa na mawazo sana?
 
SIO BURE UTAKUWA ULITEMBEA NA MKE WA MTU MUMEWE KAKUTUMIA PEPO LA USINGIZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…