Ushaacha zile deals zako? Msaidie bana!Kabla gate no 5 halijafungwa mambo yalikuwa rahisi sana.....em ngoja tuone......
Ushaacha zile deals zako? Msaidie bana!
Pouwa na hii weather hata ukiniita bwege sisikii..Ushaacha zile deals zako? Msaidie bana!
Pitia website wanazouza magari. Ukushapata gari unaoitaji, pita website ya TRA uangalie kodi itakuwa ngapi ya hilo gari.Wakuu mimi ni muanga wa hizi gari za kununua mkononi, kutokana na negative experience niliyopitia nimekuwa muoga sana na hizi gari za kununua mikononi!!
Sasa nimejichanga na kufanikiwa kupata 9m, nahitaji gari simple lakini zuri kwa ajiri ya mizunguko ya mjini, je hiyo pesa inatosha kuagiza mpaka kulipia ushuru kwa gari zenye bei kuanzia usd 1500-usd2500 na 1000-1500cc
Natanguliza shukrani!!
Mkuu nikushauri kindugu tu...Wakuu mimi ni muanga wa hizi gari za kununua mkononi, kutokana na negative experience niliyopitia nimekuwa muoga sana na hizi gari za kununua mikononi!!
Sasa nimejichanga na kufanikiwa kupata 9m, nahitaji gari simple lakini zuri kwa ajiri ya mizunguko ya mjini, je hiyo pesa inatosha kuagiza mpaka kulipia ushuru kwa gari zenye bei kuanzia usd 1500-usd2500 na 1000-1500cc
Natanguliza shukrani!!
Kwani gari la kununua bandarini halilipiwi kodi za TRA?Mkuu nikushauri kindugu tu...
Gari nunulia humu nchini ...ilo la kuagiza TRA itakumaliza na kukuacha zero !!
Nenda bandarini kuna magari yanapigwa mnada kajichagulie....
Hata kodi ikiwepo kunauwezekano akapata gari kwa bei nafuu zaidi + kodi kuliko kuagizakwani hilo
Kwani gari la kununua bandarini halilipiwi kodi za TRA?