Bajeti ya Kenya haijapita hadi leo, Mwezi huu wa saba wafanyakazi wa Serikali na wabunge mishahara yao italipwa au la?

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Swali kwa wajuzi, Bajeti ya Kenya haijapita hadi leo. Mwezi huu wa saba wafanyakazi wa Serikali na wabunge ikiwemo wanajeshi, mishahara yao italipwa au la?
 
Mbona huulizi huko UKRAINE kama wafanyakazi wanalipwa mishahara?

Nchi iko vitani wewe unawaza salary?
 
Mbona huulizi huko UKRAINE kama wafanyakazi wanalipwa mishahara?

Nchi iko vitani wewe unawaza salary?
Ukraine bunge linaendelea kama kawaida na vikao vyake na budget ya mwaka huu 2024 bunge limepitisha na raisi akasaini mswaada sehemu kubwa ya bajeti inaenda kwenye vita

Urusi pia hivyohivyo

Kenya bajeti haijapita kabisa
Ndio maana nikauliza
 
Toka wapi wakati haijaindhinishwa na bunge wala Raisi?
Kwamba bajeti isipopita hela huwa zinakwamishwa account zinafungwa au?
Au hujui bajeti haiathiri mwenendo wowote, bali hutoa path way ya mwenendo.
Nimeandika kwa kiswahili maana kingereza nimehisi tutapambana sana kueleweshana.
Zaidi kuna athari, nazo ni risk ya kuspend zaidi ya mnachoweza afford, poor decision na debt.
Hapo umeelewa
 
Kutoa hela huhitaji idhini.Sasa bajeti kama haijapita huyo mtoa heka atatoa kwa idhini ya nani? Pili ujue kuwa mfano wizara zote June mwishoni hutakiwa zisiwe na pesa kwenye akaunti .Pesa zote kama zimebaki hurudishwa hazina.Bajeti ikipita hujaziwa pesa za mwaka husika kwenye akaunti

Sasa bajeti kama haijapita hizo wizara pesa zitatoa wapi
 
Soma tena nilichoandika. Pesa hutoka zinatoka wapi utajua wewe na hiyo hazina unayoisema hapa. Ila hela ziinatoka. Hata bajeti ispopita miezi mitatu pesa hutoka. Ndio maana nimekupa risk. Kama utatoa mfukoni kama utaiba ila zinatoka.
Kwahiyo kwenu huko bajeti isipopitishwa mapato huishia wapi. Au watu hawalipi kodi? Au mishahara inatoka wapi?
 
Hapana Jamaa Shotocan Yuko Na Point..
Kwenye Bajeti na Mipango kazi (planning and Budgeting)..
Kuna Kitu kinaitwa Ceiling (Makadirio ya Pesa zote au Makusanyo yote)..

Halafu ukiacha hapo Kuna Activities as Per code of Budgeting na Fund sources..

Kama hakuna Bajeti maana yake hakuna Mpango kazi maana Yake hakuna Activities..

Kutakuwa na Fund sources Ndiyo na kutakuwa na flow ya Ceiling as Per Mapato yanaingia..

Ila swali lake ni Kuhusu Activities, Activuties Costs na Revenue projection kama Ceiling..

Hivi nilivyotaja huja na Bajeti iliyoidhinishwa kma hakukuidhinishwa bajeti..

How unaweza kuapprove Matumizi Kupata Kifungu cha malipo, Afua au hata Kazi inayofanyika..?

Hivi vitu kuvieleza kwa haraka Haraka ni vyepesi ila kwenye Kuvifanyia kazi kwa dunia ya Sasa Haiwezekani.....

How can yu Get a Payment Voucher even how can you write a Check or Check list???

Ndugu yangu Chance ndoto kwangu mimi nahisi swali la Shotocan liko sawa na la muhimu sana
 
Akija hapa akasema kakuelewa na hajanielewa mimi. Naomba niseme hawalipwi. Asubiri michango ya wengine.
 
Akija hapa akasema kakuelewa na hajanielewa mimi. Naomba niseme hawalipwi. Asubiri michango ya wengine.
🤣🤣Nop kulipwa Watalipwa Na lazima Walipwe Ila kuna Njia inayotumika Kufanya malipo yao Japo njia ya kawaida haitatumika..

Japo Baadhi ya Huduma Zitakuwa zinasuasua Kutokana na kutokupitishwa kwa bajeti...

So inabidi Itolewa Emmergence Bajeti huku wakisubiri bajeti kuu Kupitishwa..

Itatolewa kama Mfumo wa Bakaa (Wale wa Tamisemi na Watu wa Fedha wananielewa)..
 
Hapa atakuelewa, na swali lake limelenga watalipwa?
Otherwise najua tuko sawa sijataka niwe deep maana hajawa deep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…