Bajeti ya Kenya ni trillion 88 na hakuna bajeti ya VAR

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimeamini kenya Ni taifa kubwa kwa nyanja zote za siasa na uchumi na mamb ya kijamii kwa kuitazmaa bajeti yake tu Ni Mara mbili ya bajeti ya Tanzania ya trillion 46

Taifa Lina ekeza kwenye mamb ya .msingi sna hakna blaa blahaa Kama huku kwetu serkali inasamehe Kodi kwa vitu vya kipuuz na anasa ati iruhusu vifaa vya mabeberu viingie nnchini bila kulipia Kodi alfu mm nisiyempenda mpira , nakuja kutozwa matozo na makodi ya kila Aina huku mmeacha pesa mimngi imepoteaa kwa uzembe na ujinga wa viongozi wajinga wachache walio na dhamana

Kwa kuwa waziri amependekeza tu na halijapita Basi nawasii wabunge wetu wasikubali hicho kipengele kbsaa Kodi zilipwe zote stahiki wanao taka var walazimike kuingia mvukoni mwao San tupate huduma za msingi
 
Ukitaka kujua watanzania wengi ni wajinga angalia kwenye Simba na yanga na ndiyo maana serikali wanalijua Hilo....hiyo VAR ni kwajil ya Simba na yanga Tu yaani ni ujingaujinga MWINGI
 
bajeti yake tu Ni Mara mbili ya bajeti ya Tanzania ya trillion 46
46 × 2 = 92 >88. You have such an excellent point, though.

Afrika kwa ujumla tuna safari ndefu sana kuhusu vipaumbele vya uchumi na namna ya kutafuta, kutunza, kutumia na kudhibiti rasilimali.
 
Ukitaka kujua watanzania wengi ni wajinga angalia kwenye Simba na yanga na ndiyo maana serikali wanalijua Hilo....hiyo VAR ni kwajil ya Simba na yanga Tu yaani ni ujingaujinga MWINGI
Hoja hii naiunga mkono asilimia mia, eneo la simba na yanga limebeba idadi kubwa kubwa ya watanzania wajinga ambao kwao timu hizi ni kama ibada.
 
Nimeamini kenya Ni taifa kubwa kwa nyanja zote za siasa na uchumi na mamb ya kijamii kwa kuitazmaa bajeti yake tu Ni Mara mbili ya bajeti ya Tanzania ya trillion 46

Taifa Lina ekeza kwenye mamb ya .msingi sna hakna blaa blahaa Kama huku kwetu serkali inasamehe Kodi kwa vitu vya kipuuz na anasa ati iruhusu vifaa vya mabeberu viingie nnchini bila kulipia Kodi alfu mm nisiyempenda mpira , nakuja kutozwa matozo na makodi ya kila Aina huku mmeacha pesa mimngi imepoteaa kwa uzembe na ujinga wa viongozi wajinga wachache walio na dhamana

Kwa kuwa waziri amependekeza tu na halijapita Basi nawasii wabunge wetu wasikubali hicho kipengele kbsaa Kodi zilipwe zote stahiki wanao taka var walazimike kuingia mvukoni mwao San tupate huduma za msingi
Bajeti kubwa lakini wananchi wanalia hadi bei ya unga 😂️😂️😂️😂️😂️😂️. Bajeti kubwa Kama haiinui maisha ya Watu ni ufa*la tu. Eti Ruto anakodi ndege shirika lingine ilihali nchi ina shirika na ndege nzuri tu. Kenya bajeti kubwa ni kufanikisha wizi tu na Matumizi ya kunufaisha wachache.
 
Back
Top Bottom