Katika ratiba ya vikao vya Bunge tarehe 29.4.2020 Waziri Ummy Mwalimu atawasilisha BAJETI ya kufunga Awamu ya Tano.
Bajeti hii ya Sekta ya Afya itakuwa ya kihistoria kwa kuwa inasomwa wakati Tanzania na Dunia inapitia ktk majaribu makubwa katika kipindi Cha zaidi ya miaka Mia moja!
Bila Shaka kesho tutaona umahiri wa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi ktk kupinga hoja za Wapinzani ambao wanatumia mitandao ya kijamii kuipa mwongozo Serikali kuhusu kagonjwa ka Korona!
Bila Shaka kesho itawainua baadhii ya Wabunge na kuwatengenezea wengine anguko...kesho sio mbali!Tusubiri !