Haya mkuu ...ndio unalotarajia hongera!Chadema watatega masikio kusikia wagonjwa wa Corona wameongezeka Tanzania na wakisikia hivyo watashangilia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja tusubiri.kwanini tuandikie wino wakati mafuta ya mgando yapo.Katika ratiba ya vikao vya Bunge tarehe 29.4.2020 atawasilisha BAJETI ya kufunga Awamu ya Tano.
Bila Shaka kesho tutaona umahiri wa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi ktk kupinga hoja za Wapinzani ambao wanatumia mitandao ya kijamii kuipa mwongozo Serikali kuhusu kagonjwa ka Korona!
Bila Shaka kesho itawainua baadhii ya Wabunge na kuwatengenezea wengine anguko...kesho sio mbali!
Ni jambo jema........ Ngoja tusubiri!Katika ratiba ya vikao vya Bunge tarehe 29.4.2020 Waziri Ummy Mwalimu atawasilisha BAJETI ya kufunga Awamu ya Tano.
Bajeti hii ya Sekta ya Afya itakuwa ya kihistoria kwa kuwa inasomwa wakati Tanzania na Dunia inapitia ktk majaribu makubwa katika kipindi Cha zaidi ya miaka Mia moja!
Bila Shaka kesho tutaona umahiri wa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi ktk kupinga hoja za Wapinzani ambao wanatumia mitandao ya kijamii kuipa mwongozo Serikali kuhusu kagonjwa ka Korona!
Bila Shaka kesho itawainua baadhii ya Wabunge na kuwatengenezea wengine anguko...kesho sio mbali!Tusubiri !
Mkuu corona imeshaisha Tanzania Magufuli kaimalizia mbaliChadema watatega masikio kusikia wagonjwa wa Corona wameongezeka Tanzania na wakisikia hivyo watashangilia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia hiyo bajeti ikisomwa tuu kesho, kirusi cha Corona kinakimbia chenyeweChadema watatega masikio kusikia wagonjwa wa Corona wameongezeka Tanzania na wakisikia hivyo watashangilia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema watatega masikio kusikia wagonjwa wa Corona wameongezeka Tanzania na wakisikia hivyo watashangilia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni kujihami kitotoChadema watatega masikio kusikia wagonjwa wa Corona wameongezeka Tanzania na wakisikia hivyo watashangilia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una feli wapi mpaka Bia yetu anakupiga gapChadema watatega masikio kusikia wagonjwa wa Corona wameongezeka Tanzania na wakisikia hivyo watashangilia sana.
Unawatafuna kwa mafuta ya mgando, umeongea kwa uzoefu, asilimia kubwa wanatembea nayo kwenye pochi. Salute.ngoja tusubiri.kwanini tuandikie wino wakati mafuta ya mgando yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Unawatafuna kwa mafuta ya mgando, umeongea kwa uzoefu, asilimia kubwa wanatembea nayo kwenye pochi. Salute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Really,hata kuelewa chemistry ya post nayo Ni kipimo Cha IQ, hata Mimi nimekufahamu kiongoziMkuu naomba kuuliza, hivi IQ inapimwa maabara?? Mimi naona kama hii post yako imekuwa kipimo cha IQ yako!! Pesa ya kuzalisha barakoa 1500 tsh tu huna, pesa ya kununua ventilator 56m tsh huna. Kishindo kitatoka wapi?
Labda kama ni kishindo cha kusema uwongo na huficha takwimu za 19!!