Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Umemwaga nondo sana mkuu.Shukrani sana mkuu.Kwakua haujawahi kupika. Ngoja nikupe tips:
1. Anza kununua vitu cheapest kwanza uone kama utaweza. Usiamze na mbwembwe za kununua jiko la oven, plate 4, au mtungi mkubwa.
2. Achana na appliances za umeme kama microwave, rice cooker, pressure cooker, brenda etc hivyo utanunua ukiona kupika iko damuni.
By experience niliamua kama ww nikanunua pressure cooker, rice cooker, Sufuria non-stick etc nimevipark nakula kwa mama ntilie.
Ukitaka kununua kabisa electric appliances basi rice cooker instosha kabisa. Inapika hadi ugali.
3. Lengo la mtoto wa kiume kujipikia ni either kusave hela (gharama) au kula vizuri na salama. Kwahiyo akikisha unapika vyakula ambavyo ngumu kuvipata kiurahisi usije anza tena kupika chips.
4. Usinunue unga robo, mchele robo.. Nunua atleast kilo 2 kwenda mbele. Utasave zaidi. Mafuta usinunue ya kupima, ishi na atleast lita 1. Pia nunua makontena ya kuwekea vitu kama unga, mchele, sukari usiache kwenye mfuko utaharibika.
5. Hauhitaji vyombo vingi. Vijiko viwili tu, vikombe viwili, sahani 2, bakuri 2 etc tosha kabisa. Haulishi taasisi.
Na Mwisho kabisa:
UKIPIKA, UKIMALIZA TU KULA OSHA VYOMBO. USISEME NGOJA NIPUMZIKE KIDOGO. USIJARIBU. KAMA HAUWEZI HII BASI KUPIKA WEWE BADO.
Sawa mkuu.mawe matatu ,sufuria 2,mwiko,sahani nakijiko
vyote hivyo pamoja na kuni 20k inatosha
Unajua challenge inakuja, unanunua friji hafu after week 2 za kupika unagundua kipika sio issue zako kabisa.Umemwaga nondo sana mkuu.Shukrani sana mkuu.
Ila bajeti yangu nilikuwa nimetenga kama 1.5 nikitegemea na hizo electric appliances kama fridge n.k,kumbe hazina umuhimu..kumbe kwa 200k tu naweza anza mambo..una lipi kwenye hili?
1.5 niniUmemwaga nondo sana mkuu.Shukrani sana mkuu.
Ila bajeti yangu nilikuwa nimetenga kama 1.5 nikitegemea na hizo electric appliances kama fridge n.k,kumbe hazina umuhimu..kumbe kwa 200k tu naweza anza mambo..una lipi kwenye hili?
Unaweza nunua vyote ivo:Umemwaga nondo sana mkuu.Shukrani sana mkuu.
Ila bajeti yangu nilikuwa nimetenga kama 1.5 nikitegemea na hizo electric appliances kama fridge n.k,kumbe hazina umuhimu..kumbe kwa 200k tu naweza anza mambo..una lipi kwenye hili?
1.5m tsh ..pesa1.5 nini
Nadhani nifuate huu ushauri wako,nitumie 200k kuanza na hivi vidogo hela inayobaki ni bora niweke nguvu sebuleni niwe na sebule kali ya kupumzika nikicheki EPL na kusikiliza muziki.Unaweza nunua vyote ivo:
1. Friji ukatenga 500 - 600k
2. Appliances: Rice cooker 120k, Jiko la Plate: 120, Non stick pots: 150, vyombo vingine 150 etc.
Karibia Mil 1.2 hiyo + material ya kupika inafika 1.5
Sasa ukikuta chini ya mwezi mzuka wa kupika umeisha, hasara kubwa sana hiyo.
Ndio maana nashauri anza na budget ndogo, ukiona mzuka upo bado, anza kuexpand mdogo mdogo.
Appliances hakikisha unanunua high quality, na nunua as if haununui tena ndani ya miaka 5 ijayo.
Usinunue friji dogo leo. Ukisema eti nikiwa na familia nitanunua kubwa lake. Hatuendi ivo
OrWakuu nataka kuanza kupika mwenyewe sasa nikiangalia sina kitu hata kimoja jikoni.
Nataka niwe na jiko la kawaida tu.
Naombeni wenye majiko mnipe essentials zote na gharama zake roughly..
Vizuri sana,usinunue kitu UKISEMA nitakapokua hivi nitanunua kingine,Unaweza nunua vyote ivo:
1. Friji ukatenga 500 - 600k
2. Appliances: Rice cooker 120k, Jiko la Plate: 120, Non stick pots: 150, vyombo vingine 150 etc.
Karibia Mil 1.2 hiyo + material ya kupika inafika 1.5
Sasa ukikuta chini ya mwezi mzuka wa kupika umeisha, hasara kubwa sana hiyo.
Ndio maana nashauri anza na budget ndogo, ukiona mzuka upo bado, anza kuexpand mdogo mdogo.
Appliances hakikisha unanunua high quality, na nunua as if haununui tena ndani ya miaka 5 ijayo.
Usinunue friji dogo leo. Ukisema eti nikiwa na familia nitanunua kubwa lake. Hatuendi ivo
Hapo umetisha. TV + Muziki + Carpet + Showcase + Kochi ata moja la seat 3.. Umeua.Nadhani nifuate huu ushauri wako,nitumie 200k kuanza na hivi vidogo hela inayobaki ni bora niweke nguvu sebuleni niwe na sebule kali ya kupumzika nikicheki EPL na kusikiliza muziki.
Kama anafungua restaurant!, sufuria tatu, bakuli 2, sahani 2 vikombe 3, jiko la gas mengine atanunua kidogo kidogoUnaweza nunua vyote ivo:
1. Friji ukatenga 500 - 600k
2. Appliances: Rice cooker 120k, Jiko la Plate: 120, Non stick pots: 150, vyombo vingine 150 etc.
Karibia Mil 1.2 hiyo + material ya kupika inafika 1.5
Sasa ukikuta chini ya mwezi mzuka wa kupika umeisha, hasara kubwa sana hiyo.
Ndio maana nashauri anza na budget ndogo, ukiona mzuka upo bado, anza kuexpand mdogo mdogo.
Appliances hakikisha unanunua high quality, na nunua as if haununui tena ndani ya miaka 5 ijayo.
Usinunue friji dogo leo. Ukisema eti nikiwa na familia nitanunua kubwa lake. Hatuendi ivo
Yeah...kama no bachelor ukinunua tu vitu vya jikon uwe tayari kuoa bila kutakaNadhani nifuate huu ushauri wako,nitumie 200k kuanza na hivi vidogo hela inayobaki ni bora niweke nguvu sebuleni niwe na sebule kali ya kupumzika nikicheki EPL na kusikiliza muziki.
Kwanini?Yeah...kama no bachelor ukinunua tu vitu vya jikon uwe tayari kuoa bila kutaka
Akina sie tukionaga maudambwi udambwi huwa tunajiozesha.....Kwanini?
Ooh..kumbe..kitu gani kingine mkiona ndani mnajiozesha?Akina sie tukionaga maudambwi udambwi huwa tunajiozesha.....
Tupe feedback basi..Ooh..kumbe..kitu gani kingine mkiona ndani mnajiozesha?