Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha?
Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
Katiba ya nini...?watu tunataka ajira sio makaratasi..by the way hii iliyopo inafaa sana
Hakuna Bajeti Hakuna Katiba mpya ni DANGANYA YA CCMNimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha?
Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
AJIRA hakuna ZURURA MPAKA UFE katiba iliyopo inakutaka UZURURE TUKatiba ya nini...?watu tunataka ajira sio makaratasi..by the way hii iliyopo inafaa sana